Waungwana,
Hata sina uhakika kama bado nina wasomaji - for it has been a very long time since i posted my last article. Kwa baadhi ya wanaojali - swali ni "Kulikoni"? Well here is the scoop: After 13 years in the US, nipo katika pilika pilika za kurudi Bongo!
Najua kuna mnaojiuliza "what happened"! Well nothing reall... except the fact that My wife and I thinks it's about time we go back na kuona mambo yatakwenda Je.
Now, We are well aware of the fact kuwa Tz sio US. na kwamba maisha yanaweza kutugonga vibaya sana - unajua tena bongo.
Probably of encouragement ni ukweli kuwa - hakuna anayenifukuza hapa, kama ni kurudi - nina uwezo wa kutoka na kuingia ninavyopenda.
Aidha, ni ukweli kuwa - huko bongo,majority - bado wanasota sana. Depending on whether you see a glass half full OR half empty - that is either good news OR bad news. It is kind like the story of 2 shoe salesmen!
So that's it!
Safari ni April 20th - wazee wa jiji - wakina Michuzi tafadhali tusikimbiane:) Mkitona mitaani "vijana wanatuingiza mjini" tafadhali mje kutuokoa! Aidha tutahitaji sana kusafishwa macho kuondoa matongotongo ya "ughaibuni" - watu wa kuja tuna shida zetu!
Ama, nimepania siku moja kupiga hodi hapo "Photo point" kuja kuomba maji - unajua tena kuku mgeni... Hivi mpo hapo "Shoppers" ua....?
Talk to me
4 comments:
Safari njema.Bongo akili Kumkichwa ukizubaa unaachwa feri,ni msemo tu wa watoto wa mjini.
Ukifika mkuu usikate tamaa mapema maisha kule yahitaji kujifunah mkanda.
Nikutakie kila la kheri.Tafadhali tuzidi kuwasiliana.Sio vibaya kama kabla hujang'oa nanga tupigiane simu tupeane mawaidha.
Safari njema Mzee!Wasomaji wako tupo ingawa wengine hupita kimya kimya.
Mara yangu ya kwanza kupita hapa,but nimevutiwa napo.Hujasema kama unakwenda Bongo jumla au likizo(i know it's personal,but nachangia hoja tu).Nauliza hivyo coz i was there form Oct'05 to Apr'06,na picha nilyoondoka nayo ni clear:while kurudi Bongo for good kunahitaji maandalizi ya kutosha na ya muda mrefu (japo sio kama visheni za ajabuajabu za maendeleo huko home),triki ya ku-survive kwenye likizo fupi ni ku-maintain low profile.Kuna watu wana pua ndefu za kunusa harufu ya mtu aliyetoka ng'ambo,na ikishindika kupata msaada kutoka kwako kwa kutumia conventional means,si ajabu aka-opt roba ya mbao(usitetemeke,hiyo ni extreme case).Expect kukuta okoo wenu umerefuka 30-fold,hata wasiokujua watadai kuwa walifahamishwa na marehemu babu zao kuwa mnatoka kwenye ukoo mmoja,sad nyuzi iz the babu iznt there.Na labda jingine ni uamkini kwenye ofa za kwenda mahala kama njenje,twanga pepeta au bills (kama ni mpenzi wa vitu hivyo).Huko ndugu yangu kuna balaa,na kwenda na shemeji hakusaidii coz mashangingi ya kibongo yanapoona uko na waifu ndio yanakuwa kama yamepandishwa mzuka wa vituko.
Anyway,safari njema
Post a Comment