Wednesday, May 10, 2006

Baadhi yetu Wabongo inabidi tubadilike!

Rafiki yangu mmoja amenitumia hiki kisa cha huyu jamaa "Emil" anayedai kuwa mTz. Kwa ufupi jamaa ni fix tupu! Au sijui niseme ni noma kichizi!....

Samahani imebidi nihamisha hii "story" na kuipeleka kwenye blugu yangu nyingine: "Bongo Kijiweni"..

Lengo ni kutaka kuiacha hii blogu wazi kwa ajili ya maswala ya maendeleo. Bila shaka umeshaniwia radhi! karibu sana "Kijiweni"

Ned

0 comments: