Just in... (encouraging news)
Hayawi hayawi mwisho huwa...
Hatimaye majaji Natalia Kimaro, Salum Massati na Jaji Thomas Mihayo, wamekubaliana na walalamikaji LHRC (Legal and Human Rights Centre), LEAT (Lawyers’ Environmental Action Team) na NOLA (National Organisation for Legal Assistance); kuwa kimsingi "Takrima" ni ukiukwaji wa sheria, na inabidi itambulikane hivyo.
Habari kamili zipo kwenye gazeti la jumanne la daily news
Unadhani hii itasaidia? Nini maoni yako?
Ned
2 comments:
kaka karibu na nimefurahi kuwa Kiswahili unakifahamu vema sasa unasubiri nini? Nimekosea kukukaribisha hapo juu maana nitafanya hivi ukianza kuandika Kiswahili kwanza na kisha hicho kizungu kufuata baadaye.
Karibu mzee mwenzetu. we've been waiting for you dearly. Now you're here, we hope to gain more from you, especially in the tongue we understand the most. But either way is cool.
Post a Comment